Ticker

6/recent/ticker-posts

AUDIO:RAGE AKIRI KUPOKEA BARUA KUTOKA FIFA KUHUSU SWALA LA OKWI, LAKINI ASEMA...

 Mhariri:Herman Kihwili,IMEWEKWA FEB. 11,2014 SAA 03:11 USIKU


Uongozi wa klabu ya simba umekiri kupokea barua kutoka katika shirikisho la soka Duniani FIFA,ikieleza kuwa imepata vielelezo
vyote kutoka klabu ya Étoile du Sahel ya Tunisia  kuhusiana na
swala la mchezaji Okwi.

Akizungumza na Jamii na Michezo  mwenyekiti wa klabu hiyo Ismail Aden Rage amesema  katika vielezo hivyo  Étoile du Sahel  wamekiri kutowalipa Simba hata shilingi moja,kutokana na tatizo la kusafirisha fedha.
Na katika vielelezo hivyo pia,klabu ya  Étoile du Sahel,imeshukuru kuongezewa muda wa malipo kutoka Februari mpaka septemba mwaka huu. 
BONYEZA PLAY KUMSIKILIZA RAGE 
 

Post a Comment

0 Comments