Mhariri:Herman Kihwili,IMEWEKWA FEB. 12,2014 SAA 07:51 USIKU
Kuelekea katika fainali za kombe
la dunia nchi Blazil,shirikisho la mpira Tanzania limesema kuwa maombi
ya Tiketi kwa watanzania
wanaotaka kuangalia baadhi ya mechi
yamefungwa,na kusema kuwa sasa ni zamu ya FIFA kuweza kupitisha maombi
hayo.
BOFYA HAPO CHINI KUSIKILIZA ZAIDI
0 Comments