Ticker

6/recent/ticker-posts

AUDIO:ALICHOKISEMA NAHODHA WA SIMBA 'CHOLO' KUHUSU MGOGORO KATI YA WACHEZAJI NA KOCHA

Mhariri:Herman Kihwili,IMEWEKWA FEB. 26,2014 SAA 03:55 USIKU

Matokeo ya sare na kufungwa kwa Timu ya Simba ya Dar es salaam,kumewafanya baadhi ya mashabiki wa Timu hiyo kujiuiza
na wengine kuamini kama kuna mgogoro kati ya wachezaji wa timu hiyo na kocha wao Zdravko Logarusic,na hiyo ndiyo sababu iliyopelekea nahodha wa timu ya Simba Nasoro Said Masoud Cholo kiliongelea swala hilo.

Bofya hapo chini kusiliza alichokisema  nahodha Nasoro Said Masoud Cholo


Post a Comment

0 Comments