Mhariri:Herman Kihwili,IMEWEKWA FEB. 26,2014 SAA 06:33 USIKU
Timu ya Al Ahly kutoka nchini Misri itakutana na wawakilishi pekee wa Tanzania kwenye Mashindano ya Klabu Bingwa Barani
Afrika timu ya Young Africans, ambapo Yanga imeingia kambini katika hotel ya Laico Ledger iliyopo eneo la Bahari Beach Kunduchi kujiandaa na mchezo huo wa siku ya jumamosi katika mchezo utakaopigwa katika dimba la Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam.![]() |
Leseni ya Okwi |
Emannuel Okwi pia atakuwepo katika mchezo huo,kwani pia amepata kibali cha kucheza kutoka katika shirikisho la mpira barani Afrika.
Tumia dakika zako 2 na sekunde 37 kujua Al Ahly wanakuja lini,wanafikia wapi na kufanya mazoezi,waamuzi kutoka wapi watachezesha mchezo pamoja na viingilia vya mechi hiyo,bila kusahau maandalizi ya Yanga mpaka sasa.
BONYEZA PLAY KUMSIKIAMSEMAJI WA YANGA BARAKA KIZUGUTO
BONYEZA PLAY KUMSIKIAMSEMAJI WA YANGA BARAKA KIZUGUTO
0 Comments