Mhariri:Herman Kihwili,IMEWEKWA JANU. 19,2014 SAA 04:32 USIKU
Manchester
United legend, David Beckham alikuwepo katika uwanja wa Stamford Bridge akiangalia timu yake ya zamani, lakini badala ya
kukaa pamoja na meneja
wake wa zamani Alex Ferguson katika kiti,bali alikuwa yuko karibu na
Roman Abramovich katika upande wa viti maalumu vya Chelsea.Nung'unika! David Beckham (chini) akijisikia maumivu wakati Roman Abramovich na wageni wake kusherehekea bao la kwanza |
Huku ni rangi ya Blue kaka!: Beckham akiwasili na kuchukua kiti chake katika sehemu anayokaa mmiliki wa Chelsea katika uwanja wa Stamford Bridge |
Beckham alikuwa amefuatana katika mchezo, na mtoto wake mkubwa Brooklyn |
Winga huyo wa zamani
wa United alifuatana na mtoto wake mkubwa Brooklyn, ilionekana
kunung'unika kana kwamba alikuwa hajisikii fahari baada ya
mshambuliaji Chelsea Samuel Eto'o kufunga bao la kwanza kati ya mabao yake
matatu - wakati mashabiki wa Chelsea walio karibu naye walikuwa wakisherehekea kwa furaha kubwa .
Mchezaji wa cricket wa England Kevin Pietersen akifurahia baada ya Chelsea kuongoza katika nusu ya kwanza. |
Nimepata mengi ya kujibu kwa! :Kevin Pietersen inaonekana uwezekano wa kucheza mchezo wa cricket kwa England upo tena |
Bosi wa zamani wa Manchester United Alex Ferguson akiwa na mshabiki maarufu wa United Mick Hucknell (kulia) |
Mmoja
wa mashabiki wengi wenye shauku kwa Chelsea aliyekuwa akiangalia mchezo na washangiliaji wengine wa
michezo , ni mchezaji wa cricket wa England Kevin Pietersen, ambapo alikuwa hatulii
kutoka katika kiti chake na kuinua mikono yake baada ya bao la
kwanza katika ushindi Chelsea wa 3-1.
Huruma:Adnan Januzaj (kushoto) na Danny Welbeck wakisimama baada ya Chelsea kufunga bao la pili |
Mabao yote matatu ya Chelsea yalifungwa na Samuel Eto'o katika dakika ya 17,45 na 49,na bao la kufutia machozi la Manchester United likifungwa na Javier Hernandez dakika ya 78, huku wakishuhudia wakipata pigo baada ya mchezaji wao Nemanja Vidic kutolewa kwa kadi nyekundu dakika ya 90.
Wanyonge: David Moyes (katikati) akionyesha ishara baada ya Chelsea kuibuka ushindi dhidi ya United katika uwanja wa Stamford Bridge
|
Eto'o (kushoto) alipewa nafasi sana ndani ya eneo la penalti kwa United kabla ya bao lake la pili
Hero: Samuel Eto'o (katikati) alifunga mabao na kusaidia Chelsea kuishinda Manchester United katika uwanja wa Stamford Bridgi |
Vijana hao wa Jose Mourinho bado wanaongozwa kwa alama mbili nyuma ya viongozi wa ligi hiyo Arsenal,licha ya Samuel Eto'o kufanya unyama huo wa kupiga hat-trick.
Chelsea: Cech, Ivanovic, Cahill, Terry, Azpilicueta, Ramires, Luiz, Willian (Matic 85'), Oscar (Mikel 67'), Hazard, Eto'o (Torres 78').
Subs not used: Cole, Lampard, Mata, Schwarzer.
Booked: Luiz
Goals: Eto'o 17', 45', 49'
Man Utd: De Gea, Rafael Da Silva, Evans, Vidic, Evra (Smalling 61'), Jones, Carrick, Valencia, Januzaj, Young (Hernandez 56'), Welbeck.
Subs not used: Giggs, Lindegaard, Cleverley, Fletcher, Kagawa.
Booked: Young, Valencia
Sent off: Vidic
Goal: Hernandez 78'
Referee: Phil Dowd
Att: 41,615
ANGALIA VIDEO YA MABAO
0 Comments