Utamaduni ni kitu ambacho kinaweza kutofautisha nchi moja na nyingine au mkoa mmoja na mwingine.
Tanzania ina makabila mengi lakini moja kati ya makabila
makubwa katika nchi ya Tanzania ni kabila la wasukuma,utawatambua kwa vitu vingi lakini kimoja wapo ni ngoma au vitu asilia.
Hii video ni kikundi cha vijana wa kisukuma wanaotumia vipaji vyao kwa ajili ya kuburudisha na kuelimisha,na hapo katika nyimbo hii wanaimba nyimbo ya kuburudisha yenye maana ya kwamba utamu wa ngoma umekolea mpaka wanashindwa kukimbia.

ANGALIA VIDEO
0 Comments