Mhariri:Herman Kihwili.IMEWEKWA DESEMBA 6.2013 SAA 09:34 USIKU
Nahodha wa Ureno Cristiano Ronaldo anaamini Hispania, Brazil na Ujerumani wanaweza kushinda kombe la dunia mwaka ujao Kombe
na ana nia ya kuepuka timu hizo zote
tatu katika hatua ya upangaji wa makundi siku ya Ijumaa.
Mshambuliaji huyo wa Real
Madrid ana uhakika atakuwa akiiwakilisha nchi yake huko Brazil msimu ujao na anauhakika pia atafanya kama alivyofunga mabao yote
manne katika ushindi wa jumla ya mabao 4-2 katika hatua ya mchujo dhidi ya Sweden
mwezi uliopita.
Hata
hivyo, baada ya kuondolewa na Hispania katika kila
mashindano makubwa mawili yaliyopita, yeye ana nia ya kuepuka baadhi ya klabu na wachezaji wake pamoja na Brazil na washindi mara tatu Germany katika
hatua za mwanzo.
"Wanaogombea
kushinda Kombe la Dunia ni Brazil, Hispania na Ujerumani, Kimsingi si
wakati mzuri kuwa pamoja nao katika droo, lakini si kufikiria
kuhusu hilo hivi sasa tu.," Aliliambia gazeti la Kihispania la michezo la kila siku Marca.
"Tutaona kitu katika droo. Tuna uhakika,tuko katika hali nzuri na tutafanikisha lengo letu tukienda Brazil.natumaini hatutakuwa na tumu yeyote katika hizi timu zenye nguvu tangu mwanzo."
Ronaldo ameipa mafanikio timu yake ya taifa katika mechi dhidi ya Sweden,lakini amekosa michezo miwili iliyopita na klabu yake ya Real Madrid kutokana na matatizo kidogo ya misuli .
0 Comments