Ni siku ya tarehe
25/11/2013 ambapo Mwenyekiti wa Klabu ya Simba Mh.Ismail Aden Rage (MB)
alitoka kuongea na waandishi wa habari,katika mkutano huo na waandishi
Rage alikataa agizo
liliotolewa na Tff la kumtaka kuitisha mkutano mkuu wa Dharura wa wanachama wake ndani ya siku 14.
liliotolewa na Tff la kumtaka kuitisha mkutano mkuu wa Dharura wa wanachama wake ndani ya siku 14.
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limetoa agizo hilo baada
ya kubaini kuna mgogoro katika klabu baada ya kupokea barua mbili;
moja kutoka Kamati ya Utendaji ikielezea kumsimamisha uongozi Rage, na
nyingine kutoka kwa Mwenyekiti huyo ikielezea kutotambua kusimamishwa
huko.
ANGALIA VIDEO YA RAGE ALIVYOSABABISHA FOLENI KATIKA MTAA WA MSIMBAZI
ANGALIA VIDEO YA RAGE ALIVYOSABABISHA FOLENI KATIKA MTAA WA MSIMBAZI
0 Comments