Ticker

6/recent/ticker-posts

CECAFA:ALICHOKISEMA NICHOLOS MUSONYE KUHUSU MASHABIKI,HASA WA KENYA

 Mhariri:Herman Kihwili.IMEWEKWA NOVEMBA 26.2013 SAA 07:40 USIKU

Katibu Mkuu wa CECAFA Nicholas Musonye ana matumaini ya kuongezeka kwa mashabiki mara baada ya kuanza kwa mashindano
kombe la Challenge.
Kwa mara ya mwisho mashindano hayo kufanyika katika nchi ya Kenya, kulikuwa hakuna umakini wa kulipa kuelekea kwa mashabiki wa ndani.
Mshabiki wachache walifika kuangalia timu ya Kenya ya Harambee Stars ikicheza na mara baada ya wao kuondolewa katika robo fainali, idadi ilimeshuka vibaya. 

Lakini Musonye hajasahau kipindi hiko, na anasema kwamba ana matumaini kuwa kutakuwa na maboresho kwa wakati huu mzima. 
Musonye pia ametoa wito kwa mashabiki wa Kenya,angalau kulipa,ili kuwapa imani waandaaji, kuonyesha kama kweli  mashindano hayo yanachezwa katika nchi ya Kenya.
"Mimi nakubali kwamba nina wasiwasi juu ya mashabiki kwa tabia zao katika mashindano hayo," alisema. 
"Tunajua mashabiki wa Kenya wanaweza kuwa na siku nzuri. Wanaweza kujaza uwanja bila wasiwasi. 

"Kwa upande mwingine, wanaweza pia kunufaisha wote".
"Tumejaribu kiwango chatu kizuri na tunawahakikisha kwamba mechi zitachezwa katika wakati mzuri "
"Natumaini kwamba mashabiki wanaweza kuja kutoka nje na kutusaidia. Itakuwa vizuri. "
 
mashindano yanaanza siku ya Jumatano.
 

Post a Comment

0 Comments