Mhariri:Herman Kihwili.IMEWEKWA NOVEMBA 20.2013 SAA 10:10 USIKU
Ilikuwa ni vita kati ya Cristiano Ronaldo dhidi ya Zlatan Ibrahimovic,tuiite hivyo,katika mchezo ambao Cristiano Ronaldo alionyesha kuwa yeye amekuwa bora sana kuliko Messi katika mwaka wa 2013.
Cristiano Ronaldo akisheherekea bao kwanza |
Mshambuliaji huyo wa Real Madrid ameonyesha mchezo mzuri pasipo kuwa na msaada katika mchezo wake uliokuwa wa kumbukumbu nzuri baada ya kupiga mabao matatu(hat-trick) peke yake katika mchezo wa kufuzu kombe la dunia nchini Brazil 2014,uliokuwa kati ya timu yake ya taifa Ureno dhidi ya Sweden na Ureno kuibuka na ushindi wa mabao 3 kwa 2.
Vichwa chini: Ibrahimovic na wazake wakisikitika baada ya Ronaldo kufunga bao la tatu |
Mabao ya Sweden yalipachikwa na Zlatan Ibrahimovic dakika ya 68 na 72, na kwa upande wa Ronaldo mabao yake matatu alifunga katika dakika ya 50,77 na 79.
Ureno imefuzu kuelekea kombe la dunia,kwani mechi ya awali ilishinda bao 1 kwa 0,Swiden walikuwa wanahitaji mabao 2 kwa 0 ili kuweza kufuzu.(Agg 2 -4)
Wachezaji nyota wanapokutana:Zlatan Ibrahimovic akitembea kumtishia Ronaldo |
Cristiano Ronaldo akisheherekea bao la tatu na wachezaji wenzake |
Ronaldo akiwa chini ya rundo la wachezaji wenzake |
Sweden:
Isaksson, Lustig, Nilsson, Antonsson, Martin Olsson, Larsson (Gerndt
90), Elm (Svensson 45), Kallstrom, Kacaniklic (Durmaz 82), Elmander,
Ibrahimovic.
Subs not used: Wiland, Jonas Olsson, Granqvist, Wernbloom, Bengtsson, Johansson, Toivonen, Zengin, Nordfeldt.
Booked: Olsson, Antonsson, Kallstrom, Svensson
Goals: Ibrahimovic 68, 72
Portugal: Rui Patricio, Joao Pereira, Pepe, Bruno Alves, Fabio Coentrao (Antunes 52), Meireles (Carvalho 73), Veloso, Joao Moutinho, Nani, Almeida (Ricardo Costa 82), Ronaldo.
Subs not used: Eduardo, Eder, Bruma, Luis Neto, Ruben Micael, Varela, Josue, Postiga, Beto.
Booked: Nani
Goals: Ronaldo 50, 77, 79

Ufaransa ambao ni Mabingwa wa kombe la dunia mwaka 1998,imefuzu kwani ilikuwa inaitaji mabao 3 kwa 0 na ndicho walichokifanya usiku wa jana (agg 3-2)
mechi ya kwanza Ukraine ilishinda mabao 2 kwa 0.
Ugiriki imefuzu kwa jumla ya mabao (agg 2-4),katika mechi ya kwanza waliwachapa Romania mabao 3 kwa 1.
VIDEO YA MABAO
Croatia imefuzu kwa jumla ya mabao (AGG 2-0),dhidi ya taifa dogo la Iceland ambao walikuwa wanatafuta nafasi ya kufuzu kombe la dunia kwa mara ya kwanza,mechi ya awali timu hizo zilitoka sare tasa.
BARANI AFRIKA
mechi ya kwanza Ukraine ilishinda mabao 2 kwa 0.
Mwamuzi Damir Skomina akimuonyesha kadi nyekundu mchezaji wa Ukraine Yevgen Khacheridi |
Bidii
msaada: rais wa Ufaransa Fancois Hollande (katikati) na rais wa Shirikisho la
Soka la ufaransa Noel le Graet (kushoto) kabla ya michezo.
|
Played
November 19, 2013 7:00 PM GMT
Arena Națională — București
Referee: M. Mažić
November 19, 2013 7:00 PM GMT
Arena Națională — București
Referee: M. Mažić
55′ (OG)
Vasilis Torosidis
Konstantinos Mitroglou
23Wakati wa kusherehekea:kipa wa Ugiriki Orestis Karnezis na mlinzi Dimitrios Siovas wakionyesha furaha yao baada ya kufuzu |
Kipa wa Ugiriki baada ya kuumia, lakini alicheza mchezo mzima |
Mwanga wa kijani kutoka kwa mashabiki |
Kazi nzuri umefanyika: Fernando Santos, kocha wa Ugiriki, akirushwa juu ya hewa na wachezaji wake kusherehekea mafanikio |
Romania: Tatarusanu, Matel, Rat (Latovlevici, 26), Hoban, Chiriches, Goian, Torje (Niculae, 56), Stancu (Grozav, 86), Marica, Tanase, Maxim
Subs not used: Lobont, Luchin, Gardos, Grigore, Nicolita, Gaman, Cocis, Keseru, Pantilimon
Goal: Torosidis 55 (og)
Booked: Maxim
Greece:
Karnezis, Torosidis (Vyntra, 72), Holebas, Tziolis, Papastathopoulos,
Siovas (Manolas, 80), Maniatis, Karagounis (Samaris, 74), Mitroglou,
Salpingidis, Samaras
Subs not used: Tzavellas, Kone, Kapino, Sifakis, Christodoulopoulos, Gekas, Ninis, Fortounis, Tachtsidis
Goal: Mitroglou 23
Booked: Holebas, Tziolis, Mitroglou
Ref: Milorad Mazic
VIDEO YA MABAO
Played
November 19, 2013 7:15 PM GMT
Stadion Maksimir — Zagreb
Referee: B. Kuipers
November 19, 2013 7:15 PM GMT
Stadion Maksimir — Zagreb
Referee: B. Kuipers
27′
Mario Mandzukic
47′
Darijo Srna
Croatia imefuzu kwa jumla ya mabao (AGG 2-0),dhidi ya taifa dogo la Iceland ambao walikuwa wanatafuta nafasi ya kufuzu kombe la dunia kwa mara ya kwanza,mechi ya awali timu hizo zilitoka sare tasa.
Shujaa Mario Mandzukic akisherehekea baada ya kufunga bao lake dhidi Iceland |
Kutishwa: Lakini Mandzukic alipewa kadi nyekundu kufuatia changamoto juu ya Johann Gudmundsson (kushoto) |
Matumaini ya juuu: Mashabiki wa Iceland wakifanya kama Usain Bolt wakijipa matumaini ya kucheza Kombe la Dunia
|
Croatia:
Pletikosa, Srna, Corluka, Simunic, Pranjic; Rakitic, Modric (Lovren,
89), Kovacic (Rebic, 74), Perisic; Mandzukic, Olic (Jelavic, 81).
Subs not used: Kalinic, Vrsaljko, Males, Schildenfeld, Benko, Badelj, Kranjcar, Eduardo, Subasic.
Scorers: Mandzukic, 27, Srna, 47.
Booked: Olic, Simunic.
Sent off: Mandzukic, 38.
Iceland: Halldorsson; Saevarsson, R. Sigurdsson, Arnarson, Skulason; Gudmundsson, G. Sigurdsson, Gunnarsson (Halfredsson, 73), Bjarnason; Finnbogason, Gudjohnsen (Gislason, 64).
Subs not used: Gunnleifsson, Bjornsson, Jonasson, Jonsson, Otessen, Palsson, Danielsson, Jonsson, Smarason.
Booked: R. Sigurdsson, Halfredsson.
Attendance: 25,000
Referee: Bjorn Kuipers.

November 19, 2013 4:00 PM GMT
30 June Air Defence Stadium — al-Qāhirah (Cairo)
Referee: N. Doue
November 19, 2013 4:00 PM GMT
30 June Air Defence Stadium — al-Qāhirah (Cairo)
Referee: N. Doue
25′
Amr Hassan
84′
Gedo
Ghana imefuzu kwenda Brazil kwa (Agg 3-7),mechi ya kwanza Ghana waliwafunga timu ambayo ilikuwa ikisubiri miujiza ya misri mabao 6 kwa 1.
Njia ya Brazil:Nyota wa Ghana wakisherehekea kufikia kombe la dunia 2014 licha ya kufungwa na Misri |
Juu ya lengo: Kevin-Prince Boateng alifunga bao la faraja kwa Ghana kwa usiku wa jana |
Hapa sisi ni: Kocha mkuu wa Ghana James Appiah Kwesi akirushwa juu ya hewa baada ya kufuzu |
Moto Mwekundu : Mshabiki wa Misri wakiwasha moto katika mechi ya mchujo ya kufuzu Kombe la Dunia |
Mwanga wa kijani kutoka kwa mashabiki wa Misri unang'aa katika macho ya kipa wa Ghana Abdul Fatawu Dauda
|
0 Comments