Mhariri:Herman Kihwili.IMEWEKWA NOVEMBA 13.2013 SAA 02:56 USIKU
Chris Coleman amesaini mkataba wa kubaki katika klabu ya Wales mpaka kuanza kwa kampeni za kufuzu katika mashindano ya Euro 2016,BBC nchini Wales wameeleza.
Kocha huyo mwenye umri wa miaka 43 anaaminika amesaini miaka miwili na Chama cha soka cha Wales, na kukomesha uvumi kuhusu
mustakabali wa Coleman ziliongezeka baada ya kuahirishwa
kwa mkutano wa waandishi wa habari wiki iliyopita uliokuwa umelenga kutaja
kikosi kitakachovaana na Finland, huku maafisa wa Wales wakisema kuwa
wamejadiliana na Chris na kuamua kuwa watataja kikosi hicho kwa njia ya
barua pepe.
Coleman kuthibitisha yeye ataendelea kukaa Wales katika mkutano wa vyombo vya habari huko Cardiff,na alielezwa kupigiwa pande kuziba nafasi iliyo wazi kwenye timu ya Crystal Palace.

0 Comments