Wasimamizi wa mchezaji Lionel Messi wamekanusha ripoti ya mpasuko iliyotolewa kati ya mchezaji huyo na timu ya Barcelona.
Mchezaji huyo bora wa mwaka mara nne kwa dunia anakadiliwa
kuwa nje wiki sita hadi nane baada ya kuumia mguu katika mchezo ambao waliibuka na ushindi wa 4-1 dhidi ya timu ya Real Betis.
kuwa nje wiki sita hadi nane baada ya kuumia mguu katika mchezo ambao waliibuka na ushindi wa 4-1 dhidi ya timu ya Real Betis.
Daktari wa kiargentina Luis Garcia , ambaye si mfanyakazi wa mabingwa wa hao wa Kihispania,
imekuwa akifanya kazi na mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 26,na kufufua uvumi kuwa Messi alikuwa hanafuraha na wafanyakazi wa matibabu wa klabu yake mwenyewe, na hasa mtaalamu wa tiba maungo Juanjo BRAU,sababu ni juu ya jeraha lake kwa kuumia mara
kwa mara.
Lakini mkurugenzi wa michezo wa klabu ya Barcelona Andoni Zubizarreta alikanusha madai yote ya Garcia, nakusema kuwa daktari huyo anajulikana sana na wafanyakazi wao wa matibabu.
Na wasimamizi wa Messi katika timu wanasisitiza kuwa hakuna
na tatizo lililo shughulika na Garcia, ambaye ni mtu wao aliyekuwa akifanya kazi kwa karibu na wao
huko nyuma.
Katika
taarifa Leo iliyotolewa na wasimamizi wa Messi inasema: "mchakato wa kumrudisha kutokana maumivu aliyoyapata Jumapili iliyopita,ulianza siku ya Jumatatu , ingawa ni ya aina
moja ya mguu huo, lakini hayahusiana na mtu yeyote katika wakati uliopita.
Katika hatua nyingine mchezaji mweza Gerard Pique ,amesema kuwa Messi anajisikia vibaya sana kwa kutengwa kwa wiki sita hadi 8 baada ya kuumia mguu,Gerard Pique aliyasema hayo katika mahojiano yaliyochapishwa leo Alhamisi.
Pique,
ambaye naye amekuwa ikikabiliwa na matatizo kadhaa, alisema Messi alikuwa na majeraha makubwa.
"Kesi
yake ni tofauti, Yeye alikuwa na majeraha kadhaa,
pengine ndio imesababisha ya yeye kupoteza kujiamini. Mimi sikuwa na
matatizo ya misuli kama yeye.," Pique Aliiambia gazeti la michezo la
Barcelona la kila siku la Mundo Deportivo.


0 Comments