Na.Ngonise Kahise,IMEWEKWA NOVEMBA 22.2013 SAA 03:00 USIKU
|
P-square wakizungumza waandishi wa habari(hawapo pichani)katika hoteli ya Hyatt Regenc Kilimanjaro jijini Dar es salaam |
Kundi la wanamuziki kutoka nchini Nigeria P-square ambalo linaundwa na mapacha wawili,Peter na Paul Okeye,leo wametoa
misaada mbalimbali katika kituo cha kulelea watoto wenye mtindio wa ubongo cha Msimbazi Center kilichopo jijini Dar es Salaam.
Lakini kabla ya kuelekea katika kituo hiko, walifanya mkutano na waandishi wa habari kaatika hoteli ya Hyatt Regenc Kilimanjaro jijini Dar es salaam kuelezea tamasha lao litakalofanyika katika viwanja vya Leaders Club siku ya Jumamosi.
ZIFUATAZO NI BAADHI YA PICHA ZA MATUKIO MBALIMBALI ZA WANAMUZIKI HAO.
|
P-square wakiwa na baadhi ya wasanii wakitanzania |
|
P-square wakiingia katika kituo cha kulelea watoto wenye mtindio wa ubongo cha Msimbazi Center |
|
Paul Okoye akishuka katika Gari na kuingia katika kituo cha msimbazi Center |
|
Peter akimpandisha katika bembea mtoto mwenye utindio wa ubongo |
|
Peter akitoa msaaba kwa watoto wenye mtindio wa ubongo |
|
Paul akitoa msaaba kwa watoto wenye mtindio wa ubongo |
|
Paul |
|
Peter |
|
P-square wakicheza na watoto wenye mtindio wa ubongo |
|
P-square wakiwa na walimu wa shule ya watoto wanye mtindio wa ubongo |
|
P-square wakiwa na baadhi ya wafanyakazi wa Vodacom |
0 Comments