Ticker

6/recent/ticker-posts

TAARIFA MBAYA KWA STEVEN GERRARD NA KYLE WALKER KUELEKEA MECHI YA KIRAFIKI DHIDI YA CHILE

 Mhariri:Herman Kihwili.IMEWEKWA NOVEMBA 13.2013 SAA 01:26 USIKU

Meneja wa England Roy Hodgson amelazimika kufanya mazoezi ya nguvu kwa upande wa timu yake ili kuwa na matumaini  zaidi wakati England itakapocheza na Chile siku ya Ijumaa,baada ya
timu hiyo kuzidi kupata rundo la wachezaji majeruhi .
Steven Gerrard na Kyle Walker watakuwa nje katika mechi hiyo ya kirafiki baada ya kulazimika kukosa mazoezi hii leo kwa sababu ya kuwa majeruhi.
Timu hiyo ilikuwa pungufu walipokuwa wakifanya mazoezi , kama ilivyokuwa kwa Daniel Sturridge, ambaye ana malalamiko ya mguu,na kumpa nafasi zaidi Hodgson kuteuwa wengine baada ya Michael Carrick na Danny Welbeck kuwa nje ya kikosi baaada ya kuumia. 
Ilikuwa imethibitishwa leo kwamba Carrick, kiungo wa Manchester United, anaweza kuwa nje kwa wiki sita na tatizo lake la udhaifu na  katika nafasi yake Hodgson ana fikiria ya kuchagua wengine. 
Frank Lampard amechaguliwa kuchukua nafasi ya Gerrard kama nahodha,lakini anakabiliwa mvutano kwamba anaweza kuondoka,ambapo Wayne Rooney ni mgombea mwingine anayesemekana kuchukua uzinge kwa kiungo wa huyo wa Chelsea, ambaye katika mafunzo leo,hakuwa vizuri kwa kucheza. 

Post a Comment

0 Comments