Mhariri:Herman Kihwili.IMEWEKWA NOVEMBA 19.2013 SAA 12:05 JIONI
Timu ya Malawi inaweza kuwa na kocha mpya na maazimio mapya mnamo mwezi Januari kufuati makubaliano ambayo Chama cha
Soka cha Malawi (FAM) walikubaliana wakati wa
mkutano mkuu wa mwaka (AGM) uliofanyika katika Wilaya ya Kati Mkoa wa
Salima siku ya Jumamosi.
Mkutano
Mkuu pia walikubaliana kwamba kufuzu kwa Kombe la Mataifa 2015 ni lazima kama
lengo kuu kwa kocha ajaye ambaye atateliwa sasa na kukabidhiwa katika
mikono ya kamati ndogo ya kiufundi ya FAM, badala ya kuwashirikisha watendaji wote wa FAM, kwa mujibu wa vyombo vya habari vya ndani.
kamati
ndogo itakuwa orotha fupi ya majina ya makocha kwa ajili ya mahojiano na
kocha mpya anatarajiw kutajwa mwezi Januari, wanachama wa mkutano mkuu wamebainisha.
Nafasi ya kazi ya kufundisha ya kocha wa Malawi iko wazi kufuatia mwisho wa kocha wa kijitolea Mbelgiji Tom Saintfeit mbaye aliomba Miezi miwili ya kufundisha.
0 Comments