Ticker

6/recent/ticker-posts

VIDEO:WANANCHI WATOA KICHAPO KWA WALEVI WA GONGO

IMEWEKWA NOVEMBA 19.2013 SAA 07:36 USIKU
Screen Shot 2013-11-18 at 7.34.40 PM

Wakazi wa kijiji cha Makunga mjini Kitale, kaunti ya Trans Nzoia nchini Kenya, waliamua kuchukua sheria mikononi mwao kwa
kusitisha kero za walevi katika kaunti hiyo.Wenyeji hao walizua vurugu na kutoa kichapo kwa wahusika,huku maafisa wa polisi walilazimika kuingilia kati kutuliza hali hiyo. 

VIDEO YA TUKIO KUTOKA K24 TV

Post a Comment

0 Comments