Mhariri:Herman Kihwili. IMEWEKWA OCTOBA 31,2013 SAA 5:55 USIKU
Kiungo wa Liverpool Philippe Coutinho amerudi katika kikosi kwa ajili ya mpambano na timu iliyokuwa juu katika msimamo
Arsenal,mchezo utakaopigwa siku ya Jumamosi.
Mchezaji huyo raia wa Brazil alikuwa nje tangu kuumia bega kufuatia changamoto na mchezaji wa Swansea City Ashley Williams katikati ya mwezi Septemba.
"Coutinho yuko vizuri," alisema meneja wa Liverpool Brendan Rodgers. "imekuwa vizuri sana kwa mtaalamu kuja tena"
"amekuwa katika mazoezi kwa wiki chache zilizopita, hivyo itabidi kurudi katika kikosi."
Beki wa Kushoto Jose Enrique amekuwa na shaka kubwa, hata hivyo, baada ya kukosa sare dhidi
ya Newcastle na ushindi dhidi ya West Bromwich Albion kwa sababu ya kuumia
goti.
Liverpool ni ya tatu katika Ligi Kuu kwa pointi 20, pointi mbili nyuma ya Arsenal na wako sawa kwa pointi na Chelsea,ila wakitofautioana kwa alama ya mag

0 Comments