Mhariri:Herman Kihwili,IMEWEKWA SEPT 3,2013 SAA 10:20 USIKU
West
Brom imemsaini mchezaji wa Sunderland, Stephane Sessegnon kwa rekodi ada ya
klabu,pamoja na mshambuliaji wa Everton Victor Anichebe kwa ada
ambayo inaweza kuongezeka hadi £ 6m.
Sessegnon mwenye umri wa miaka 29 ambaye ni raia wa Benin,amekuwa akiitajika kwa ziada,baada ya Sunderland kumsaini Fabio Borini kwa mkopo kutoka katika klabu ya Liverpool.
Stephane Sessegnon Alijiunga
na Sunderland kutoka Paris St-Germain mwaka 2011, na West Brom wanasema
ada waliyopewa inapita £ 6.5
Na mchezaji wa kimataifa wa NigeriaVictor Anichebe mwenye umri wa miaka 25,ambaye ameitumikia Everton kwa mida mrefu kwani toka 2006,na amefunga mabao 26 katika mechi 168.
0 Comments