Mhariri:Herman Kihwili,IMEWEKWA SEPT 3,2013 SAA 9:00 USIKU
Romelu Lukaku atatumikia misimu miwili kwa mkopo katika klabu ya Evarton inayoshiriki Ligi Kuu ya Barclays, baada ya mpango wake kukamilika.
Romelu Lukaku atatumikia misimu miwili kwa mkopo katika klabu ya Evarton inayoshiriki Ligi Kuu ya Barclays, baada ya mpango wake kukamilika.
Mshambuliaji huyo mwenye umri wa mika 20 atakuwa ndani ya
Goodison Park kufuatia mwaka wamafanikio yake makubwa katika katika klabu ya West Bromwich Albion,baada ya kushiriki michezo 38 na alifunga mabao 17,na kuwa mfungaji bora kijana katika Ligi Kuu tangu alipokuwa Michael Owen mwaka 1998 / 99.
Lukaku, ambaye ameitwa katika kikosi cha Ubelgiji kitakachocheza mchuano wa kufuzu kombe la Dunia dhidi ya Scotland siku ya Ijumaa,na amecheza mara chache akiwa na Chelsea mwanzoni mwa msimu huu,tangu alipojiunga kutoka Anderlecht katika majira ya joto mnamo mwaka 2011.

0 Comments