Mhariri:Herman Kihwili,IMEWEKWA SEPT 25,2013 SAA 8:25 USIKU
Kwa wachezaji wa Chelsea maisha ya kustarehe yamekwisha,Kuanzia sasa wao kukimbiza timu tu ndani ya uwanja,
kama walivyofanya dhidi ya Swindon,katika mchezo wao dhidi wa Capital one.![]() |
Fernando Torres akifungua bao la kwanza baada ya kupata pasi kutoka kwa muhispania mwenzake Juan Mata
|
![]() |
| Mcheao umekwisha: Marco van Ginkel alilazimishwa kutika baada ya kuumia goti |
![]() |
Kijana kutoka Brazil: Ramires akipachika bao la pili akitokea bechi kuchukuwa nafasi ya Marco van Ginkel ambaye aliumia.
|
Bao la kwanza lilipatikana kupitia kwa Fernando Torres ndani ya dakika ya 29 baada ya kukimbilia pasi aliyoitoa Mata ambayo ilikuwa bado kidogo iweze kutoka nje ya uwanja,kisha Ramires akifunga ukurasa wa bao ya Chelsea kwa kuipatia bao la pili na la mwisho katika dakika ya 35 ya kipindi cha kwanza.
![]() |
| Wa Afrika wakikutana: Samuel Eto'o ambaye hakucheza na Demba Ba aliyeingia dakika ya 78 kuchukua nafasi ya De Bruyne wakitaniana kwa furaha kabla ya mchezo |
![]() |
| Kidomo domo |
Kikosi cha Swindon: Foderingham, Thompson, Hall, McEveley, Ward, Luongo, Pritchard, N'Guessan, Kasim, Ajose (El Gabbas), Ranger (Thompson 46)
Akiba wasiotumika : Belford, Barthram, Rossi-Branco, Wood, Storey,
kadi ya njano: Thompson
Kikosi cha Chelsea: Schwarzer, Luiz, Cahill, Azpilicueta, Bertrand, Essien, Mata, De Bruyne (Ba 78), Van Ginkel (Ramires 10 (Terry 46)), Willian,Torres
Akiba wasiotumika : Blackman, Terry, Baker Schurrle, Eto'o
Kadi za njano: Azpilicueta, Essien
Wafungaji: Torres, Ramires.![]() |
| Juan Mata (kushoto) na David Luiz |








0 Comments