Ticker

6/recent/ticker-posts

KIKAPU:OILERS YAIVURUGA JKT NA KUCHUKUWA UBINGWA

IMEWEKWA SEPT 2 ,2013 SAA 1:00 USIKU
Michuano ya mpira wa kikapu kwa timu za Dar es salaam inayodhaminiwa na Tanzania Marketing Communication na kuratiiwa na Shirikisho la mpira a kikapu Tanzania (TBF) ambayo yalikuwa yanafanyika katika viwanja vya shule ya Sekondari zanaki,yamemalizika siku ya jumapili ya tarehe 1 Sept.2013 kwa timu ya Oilers kuibuka na ushindi baada ya kuichapa timu ya Jkt  kwa alama78 dhidi ya 69,lakini Lusajo Samwel wa timu ya Oilers ndiye aliyekuwa MVP.
Mcho yote juu ya mpira hapo
Katika mchezo wa kutafuta mashindi wa tatu,kulikuwa ni kati ya t
imu ya Jogoo na timu ya Chui,ambapo timu ya Jogoo,imeibuka mshindi baada ya kuichapa chui kwa alama 68 dhidi ya 58.
Shilingi laki 5 zimeenda kwa Oilers kwa sababu ni mshindi wa kwanza,mshindi wa pili Jkt wao wamepata shilingi laki 3,na Jogoo ambao ni washindi wa tatu wao wamepata shilingi laki 2.

Mchezo ndio unaanza sasa.

Maelikezo kidogo"songa mbele"
juu kwa juuuuuu!
Alama point muhimu sana.
Isakwasa Mwakansope
huoooo!
Maelekezo kidogo
Usiku huuu,unaingia
Mpaka kieleweke hapa
Mwisho wa mchezo:Jkt 69 na Oilers 78
Vikombe ndio hivyo tena ,vinasubiri mwenye chake
Muwakilishi wa mshini wa Tatu,ombao ni timu ya jogoo
Mwaaaa! ,muwakilihi wa timu ya Jkt ambao ni washindi wa pili
MVP Lusajo Samwel

Picha ya pamoja na kikosi cha timu ya Jkt
Kuhakiki:Mambo ya fedha
Picha ya pamoja na kikosi cha timu ya Oilers
Nyuso za furaha:Hongereni sana vijana wa Oilers
Mashindano haya yalianza rasmi siku ya ijumaa ya Tarehe 25 August 2013,na yalishirikisha Timu nane Kutoka pande mbali mbali za Jiji  la DAR ES SALAAM,na Timu hizo ziligawanywa katika makundi mawili, yaani KUNDI A NA KUNDI B.

Post a Comment

0 Comments