Picha za michuano ya mpira wa kikapu kwa timu za Dar es salaam inayodhaminiwa na Tanzania Marketing Communication na kuratibiwa na Shirikisho la mpira a kikapu Tanzania (TBF) ambayo inafanyika katika viwanja vya shule ya Sekondari zanaki,mashindano haya yalianza rasmi ijumaa ya Tarehe 25 August 2013,na yanatarajia kumalizika siku ya jumapili ya tarehe 1 septemba 2013.
Mashindano
hayo yanashirikisha Timu nane Kutoka pande mbali mbali za Jiji la DAR
ES SALAAM.Timu hizo zimegawanyika katika makundi mawili,KUNDI A NA KUNDI
B.














0 Comments