Mhariri:Herman Kihwili. IMEWEKWA 06,SEPT.2018 SAA 04:17 USIKU
Nahodha na mshambuliaji wa Taifa Stars Mbwana Ally Samatta anayekipiga pia katika klabu ya genk inayoshiriki ligi ya nchini Ubelgiji
amefunguka kwa mara ya kwanza juu ya ushiriki wake katika michuano ijayo ya Europa League.
Mechi ya Kwanza ya Samatta akiwa na Genk ya Michuano ya Europa League atakutana na klabu ya Malmoe FF Tarehe 20 mwezi huu Septemba.
Katika mechi ya Tatu ya Kundi I la Mbawa Samatta atakutana na Mbrazil Kepler Laveran de Lima Ferreira, anayefahamika kwa jina la (Pepe),Nyota wa zamani wa klabu ya Real Madrid ambaye kwa sasa anakipiga katika klabu ya Beşiktaş,Mechi hiyo itachezwa October 25.
SIKILIZA CHINI
...Nahodha na mshambuliaji wa Taifa Stars Mbwana Ally Samatta anayekipiga pia katika klabu ya genk inayoshiriki ligi ya nchini Ubelgiji

0 Comments