Ticker

6/recent/ticker-posts

Mimi Mars - Papara (Official Video)

Mhariri:Herman Kihwili. IMEWEKWA.May.2,2018 SAA 12:32 JIONI

Mimi Mars ameachia Video yake ya Nyimbo PAPARA,Video Hiyo Imeefanyika Nchini Afrika Kusini, akiwa imeongoza na Justin
Campos,huku audio ikifanyika Tanzania na Producer S2Kizzy katika Studio za Switch Recods na Nyimbo ikiwa imeandikwa na Young Lunya.

ANGALIA

..>>>..

KWA TAARIFA,BREAKING NEWS,RATIBA PAMOJA NA MATOKEO YA MECHI MBALIMBALI,LIKE PAGE YA FACEBOOK  BONYEZA HAPA (Jamii na Michezo),na instagram- kihwiliupdates

Post a Comment

0 Comments