Mhariri:Herman Kihwili. IMEWEKWA.FEB.16:2018 SAA 03:24 USIKU
Bingwa wa zamani wa dunia wa WBU, Rashid Matumla ‘Snake man’ amezungumza juu ya mwenendo wa ngumi nchini
Tanzania,pamoja hali ya mwanaye Mohamed Matumla ambaye alifanyiwa upasuaji wa kichwa kutokana na maumivu
aliyoyapata baada ya kupigwa na Bondia Mfaume mfaume katika moja ya pambano lake lisilokuwa na Ubiingwa.ANGALIA VIDEO

0 Comments