Mhariri:Herman Kihwili. IMEWEKWA.OCT.26,2016 SAA 06:00 MCHANA
Baraza la michezo la michezo BMT mapema hii leo limetangaza kuzitaka klabu za Simba na Yanga kusitisha mara moja michakato
ya mfumo wa mabadiliko wa uendeshaji wa klabu mpaka wenyewe watakapokubaliana na wanachama wao.

Akitangaza taarifa hiyo mbele ya waandishi wa habari katibu mkuu wa Baraza la michezo Tanzania Mohamed Kiganja amesema Kama Serikali inapenda klabu hizo zifanye mabadiliko ya kimfumo lakini zifuate utaratibu.
Kiganja amevitaka klabu zote mbili kufanya makubaliano na wanachama wao kwa amani
Baraza la michezo limeagiza michakati yote inayoendelea ya kubadilisha umiliki wa timu kutoka kwa wanachama kwenda kwenye umiliki wa hisa na ukodishwaji kwa vilabu vyote vya michezo usitishwe hadi hapo marekebisho ya kitiba zao kwa mujibu wa sheria ya Baraza la michezo la Taifa na kanuni za msajili Namba 442 kanuni ya 11 kifungu kidogo cha (1-9) yatakapofanyika.

Serikali imesema imesitisha zoezi hilo Mpaka pale taratibu nyingine zitakapofuatwa,baada ya kuona zoezi zima limekiuka utaratibu.
Serikali imezitaka klabu Simba na Yanga ziachwe kwanza kwa wanachama wao.

0 Comments