Kikosi cha Yanga hii Leo kimefanikiwa kuchomoka na ushindi wa Bao 1 kwa 0 dhidi ya Mo Bejaia ya Algeria katika mchezo wa
Kombe la Shirikisho uliopigwa katika dimba la Uwanja wa Taifa Jijini Dar es salaam.![]() |
| Kikosi cha Yanga |
![]() |
| Kikosi cha Mo Bejaia ya Algeria |
Mshambuliaji wa kimataifa wa Burundi, Amissi Tambwe ndiye aliyefunga bao hilo dakika ya 4 ya kipindi cha kwanza.
Huo ni ushindi wa kwanza baada ya mechi tano, ambapo sasa Yanga wamefikisha pointi nne baada ya awali kufungwa mechi tatu na kutoa sare moja lakini bado wana endelea kushika mkia katika Kundi A.





0 Comments