Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania kimepata mwaliko kutoka kwa chama cha Kenya (SJAK), jijini Nairobi.
Meneja Mawasiliano na Uhusiano wa Vodacom, Jacqueline Materu amesema sababu za kusaidia ziara hiyo ni kutokana na faida katika maendeleo ya tasnia ya habari pamoja na michezo.
Kwa upande wa Taswa, Makamu Mwenyekiti, Egbert Mkoko aliwashukuru Vodacom kwa udhamini huo ambao amesema watatumia ziara hiyo kwa kujifunza zaidi.
ANGALIA PICHA
0 Comments