Kikosi cha Simba bado kipo Mkoani Morogoro ilipoweka kambi kikifanya mazoezi kwa ajili ya kujiandaa na kuanza
kwa msimu mpya wa ligi Kuu.
kwa msimu mpya wa ligi Kuu.
| Kocha Msaidizi Jackson Mayanja akitoa maelekezo kwa Kikosi cha Simba katika mazoezi ya kujiandaa na msimu mpya mkoani Morogoro. |
0 Comments