Leo siku ya Jumanne kocha mpya wa klabu ya Manchester United Jose Mourinho, imefika katika mahakama ya ajira,
kusikiliza kesi iliyofunguliwa na Daktari wa zamani wa Chelsea Eva Carneiro , meneja huyo wa zamani wa Chelsea alifika kusikiliza madai dhidi yake,na klabu ya Chelsea.
Pande zote mbili zimekubaliana kumaliza kesi hiyo.

Carneiro ameishtaki Chelsea kwa kumfuta kazi na kukiuka masharti ya mkataba wa kazi. Kuna pia kesi tofauti dhidi ya Mourinho ya madai ya ubaguzi.
Mourinho - ambaye alikuwa bado hajahudhuria kesi hiyo - aliwasili katika mahakama majira ya saa saba mchana wa leo Jumanne, pamoja na mwenyekiti Chelsea, Bruce Buck.
Kesi alitakiwa kuanza saa 8 mchana kamili , lakini ikachelewa kufuatia kuwasili kwa Mourinho.
KWA TAARIFA,BREAKING NEWS,RATIBA PAMOJA NA MATOKEO YA MECHI MBALIMBALI,LIKE PAGE YA FACEBOOK BONYEZA HAPA (Jamii na Michezo) .
0 Comments