Ticker

6/recent/ticker-posts

Jose Mourinho kujiunga Manchester United saa 48 zijazo

Mhariri:Herman Kihwili. IMEWEKWA.May.24,2016 SAA 01:55 USIKU

Jose Mourinho anatarajiwa kusaini mkataba kuwa meneja wa Manchester United katika kipindi cha masaa 48 yajayo.
Mazungumzo kati ya wakala wa Mourinho, Jorge Mendes, na mtendaji wa Manchester United makamu mwenyekiti Ed Woodward yamekuwa mepesi na baadaye wamepanga kukutana katika jiji la London juu ya kujadili makubaliano binafsi.
Vyanzo vya Sky sport vimethibitisha pande zote mbili karibu wako tayari kufikia makubaliano baada ya mazungumzo kupitia simu na barua pepe siku ya jana Jumatatu usiku.

wanasheria wa Manchester United sasa wamekuwa na maelekezo ya kuandaa rasimu ya mkataba, kwa maana ya mazungumzo yaliyopangwa kufanyika kati ya Woodward na Mendes katika jiji la London na inaweza kuwa itahitajika baada ya wote.


KWA TAARIFA,BREAKING NEWS,RATIBA PAMOJA NA MATOKEO YA MECHI MBALIMBALI,LIKE PAGE YA FACEBOOK  BONYEZA HAPA (Jamii na Michezo) .

Post a Comment

0 Comments