Baraza la wazee wa Young Africans, limekitakia kheri na fanaka kikosi
chao kuelekea katika mchezo wa kesho wa kuwani kombe la shirikisho las oka nchini dhidi ya Azam FC.
chao kuelekea katika mchezo wa kesho wa kuwani kombe la shirikisho las oka nchini dhidi ya Azam FC.
Katibu mkuu wa baraza la wazee wa klabu hiyo kongwe hapa nchini Ibrahim Akilimali, amesema hawana budi kuitakia kheri na fanaka timu yao, kutokana na kutambua uzito wa mchezo wa kesho ambao wangependa kuona unamalizika kwa ubingwa wa kombe la shirikisho kuelekea Jangwani.
Amesema dhamira yao kubwa ni kutaka kuweka historia ya kutwaa mataji mawili kwa msimu huu, hivyo wataendelea kuomba mpaka dakika 90 zamchezo wa kesho zitakapo malizika.
MSIKILIZE HAPA

0 Comments