Ticker

6/recent/ticker-posts

BODI YA LIGI KUFANYA MAREKEBISHO YA KANUNI ZA LIGI KUU 2016/17

Mhariri:Herman Kihwili. IMEWEKWA.May.5,2016 SAA 03:50 USIKU

Bodi ya Ligi Kuu ya Shirikisho la Soka (TFF) imezipongeza timu za Ligi Kuu Tanzania Bara kwa kushiriki na kufanya
msimu wa Ligi Kuu Bara kuwa ya Vodacom 2015/16 kuwa wenye mafanikio.
Bodi hiyo imezifahamisha klabu zitakazoshiriki Ligi Kuu ya Vodacom msimu wa 2016/17 kuwa mchakato wa wa utengenezaji kanuni umeanza.

Bodi ya Ligi kwa sasa inakaribisha maoni, mapendekezo, marekebisho kutoka klabu ili kuboresha uendeshaji wa ligi. Maoni hayo yanapokelewa kwa njia ya maandishi moja kwa moja kwenye ofisi za bodi au kwa njia ya barua pepe tplb.tplb@yahoo.com

KWA TAARIFA,BREAKING NEWS,RATIBA PAMOJA NA MATOKEO YA MECHI MBALIMBALI,LIKE PAGE YA FACEBOOK  BONYEZA HAPA (Jamii na Michezo) .


Post a Comment

0 Comments