Ticker

6/recent/ticker-posts

TFF YAKUMBUSHIA KATIBA ITAKAYOTUMIKA UCHAGUZI YANGA


Mhariri:Herman Kihwili. IMEWEKWA.Apr.27,2016 SAA 09:37 ALASIRI
Kwa mujibu wa sheria ya Baraza la Michezo ya mwaka 1968 na kama ilivyorekebishwa mwaka 1971, Msajili wa vilabu na
vyama vya michezo ndiye mwenye mamlaka ya kusajili katiba za vilabu na za vyama vya michezo.


Kwa kuzingatia nguvu za mamalaka haya hivyo uchaguzi ujao wa yanga pamoja na chaguzi zote za vyama wanachama wa TFF zitafanyika kwa kusimamia kwenye Katiba halali iliyosajiliwa na kutambuliwa na Msajili wa vilabu na vyama vya michezo.


KWA TAARIFA,BREAKING NEWS,RATIBA PAMOJA NA MATOKEO YA MECHI MBALIMBALI,LIKE PAGE YA FACEBOOK  BONYEZA HAPA (Jamii na Michezo) .

Post a Comment

0 Comments