Ticker

6/recent/ticker-posts

KESI YA NGOMA,TAMBWE,JOHN BOCCO,KAPOMBE,KIPRETCHE TCHE,MANULA NA KOCHA WAO WA AZAM KUSIKILIZWA JUMAPILI

Mhariri:Herman Kihwili. IMEWEKWA.Apr.27,2016 SAA 10-:00 JIONI
Kikao cha Kamati ya Nidhamu ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kinatarajiwa kufanyika Jumapili, Mei
Mosi 2016 jijini Dar es salaam.
Kamati hiyo ya Nidhamu itapitia mashauri mbalimbali yaliyowasilishwa.  Wafuatao kesi zao sitasikilizwa katika kikao hicho:
(i)  John Bocco – Azam FC
(ii) Shomari Kapombe – Azam FC
(iii) Aishi Manula – Azam FC
(iv) Amissi Tambwe – Yanga SC
(v) Donald Ngoma  - Yanga SC
(vi) Paulo Jinga – JKT Rwamkoma FC
(vii) Kipre Tchetche – Azam FC
(viii) Abel Katunda – Transit Camp
(ix) Zephlyn Laurian – JKT Rwamkoma FC
(x) Idrisa Mohamed – JKT Rwamkoma
(xi) DR. Mganaga Kitambi (Daktari) – Coastal Union
(xii)  Herry Chibakasa – Friends Rangers
(xiii) Ismail Nkulo – Polisi Dodoma
(xiv) Said Juma – Polisi Dodoma
(xv)  Idd Selaman – Polisi Dodoma
(xvi) Edward Amos – Polisi Dodoma
(xvii) Stewart Hall (Kocha)– Azam FC

KWA TAARIFA,BREAKING NEWS,RATIBA PAMOJA NA MATOKEO YA MECHI MBALIMBALI,LIKE PAGE YA FACEBOOK  BONYEZA HAPA (Jamii na Michezo) .

Post a Comment

0 Comments