Uongozi wa Yanga, Leo umemtambulisha rasmi mshambuliaji wake mpya, Malimi Busungu mbele ya
waandishi wa habari katika makao makuu ya Klabu hiyo jijini Dae es salaam.
waandishi wa habari katika makao makuu ya Klabu hiyo jijini Dae es salaam.
Akizungumza wakati wa kumtambulisha Straika huyo kutokea Mgambo JKT ya Tanga,Mkuu wa kitengo cha habari wa Yanga Jerri Murro amesema kuwa,Yanga imemsajili mchezaji huyo kwa Miaka Miwili na imekabidhiwa jezi namba 16,jezi ambayo ilikuwa ikivaliwa na Nizar Khalfan,huku Jerry akisema kuwa ukiona Jezi ya mchezaji fulani kapewa mchezaji mwingine mpya,basi mchezaji huyo ndiyo tayari wameshaachana naye.
Naye Malimi Busungu amewashukuru wale wote waliofanikisha usajili huo,na kusema kuwa yalikuwa malengo yake kucheza katika klabu ya Yanga.
KWA TAARIFA,BREAKING NEWS,RATIBA PAMOJA NA MATOKEO YA MECHI MBALIMBALI,LIKE PAGE YA FACEBOOK BONYEZA HAPA (Jamii na Michezo)
KWA TAARIFA,BREAKING NEWS,RATIBA PAMOJA NA MATOKEO YA MECHI MBALIMBALI,LIKE PAGE YA FACEBOOK BONYEZA HAPA (Jamii na Michezo)

0 Comments