Selikali ya Tanzania imezungumzia swala la Kashfa ya rushwa kwa Shirikisho la Soka Duniani FIFA,kulikopelekea Rais wa FIFA
Sepp Blatter kuamua kutangaza kujiuzulu,ili kupisha uchunguzi.
Mbunge wa Jimbo la Sumve Mh.Richard Ndasa alimuuliza Naibu Waziri wa Michezo Tanzania Juma Nkamia kwamba nini Tamko la Serikali juu ya Kadhia hiyo kwani Tanzania ni Mwanachama wa FIFA.
SIKILIZA HAPO CHINI
0 Comments