Michuano ya mpira wa kikapu ya majiji ya Afrika Mashariki na Kati (East & Central Africa Inter-Cities Basketball Championship)
yameanza Mei 27 kwenye uwanja wa Taifa wa ndani (In-door Stadium) na yanatarajiwa kumalizika Mei 31 mwaka huu.
yameanza Mei 27 kwenye uwanja wa Taifa wa ndani (In-door Stadium) na yanatarajiwa kumalizika Mei 31 mwaka huu.
Angalia Matokeo ya Leo 28th May..
1st Game: Qardo 81 vs Tanga 62...mpaka half time Qardo 34, Tanga 33..
2nd Game...Ladies..Dar City 42 vs Nairobi 83...mpaka half time Dar City 20, Nairobi City 50.
3rd Gamr: Dar Stars 88 vs Mbeya 46...Mpaka half time Dar Star 38,Mbeya City 26.
4th and Last game:Final results, Full TimeimeCairo 114, MOG 62..
ANGALIA PICHA ZA MBALIMBALI
KWA TAARIFA,BREAKING NEWS,RATIBA PAMOJA NA MATOKEO YA MECHI MBALIMBALI,LIKE PAGE YA FACEBOOK BONYEZA HAPA (Jamii na Michezo)











0 Comments