Moja ya ishu kubwa katika taarifa za michezo tanzania ni kuhusu kiungo wa simba Ramadhani Singano ‘Messi’ kulalamika kwamba
Simba wamecheza mchezo na kumuongezea mwaka mmoja kwenye mkataba wake ulio TFF,ndio kumefanya Jamii na Michezo kumtafuta Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Simba Zacharia Hans Poppe ili aweze kujibu Shutma hizo.
Zacharia Hans Poppe amezungumzia swala hilo la Messi, lakini kwanza akitoa taarifa juu ya usajili wa mabeki wawili wa Kizanzibari, Samir Hajji Nuhu wa kushoto na Mohammed Fakhi wa kati.
MSIKILIZE HAPO CHINI

0 Comments