Ticker

6/recent/ticker-posts

AUDIO:MASHINDANO YA MPIRA WA KIKAPU YA MAJIJI KUANZA DAR,WACHEZAJI WATAMBA KUBAKISHA UBINGWA

Mhariri:Herman Kihwili. IMEWEKWA.May .26,2015 SAA 08:45 USIKU

Mashindano ya mpira wa kikapu ya majiji yanatarajiwa kuanza kutimua vumbi hapo kesho May 27 katika uwanja wa
ndani wa Taifa jijini Dar es salaam na kumalizika siku ya Jumapili Tarehe 30 mwezi huu.

Mashindano hayo yanahusiha majiji mbalimbali kutoka Afrika

Jamii na Michezo imezungumza na wachezaji wa Timu kutoka Tanzania ya Dar City Murshid Mudricat pamoja na Nahodha wa timu hiyo,kujua maandalizi yao.

BONYEZA PLAY KUSIKILIZA

 Pia Jamii na Michezo Imezungumza na Raisi wa kamati ya mpira wa kikapu majiji Ndugu Saimon Msofe ili kupata kujua maandalizi ya mashindano hayo.
BONYEZA PLAY KUSIKILIZA

Post a Comment

0 Comments