Uongozi wa Klabu ya Yanga hii leo Umekanusha taarifa za kuitisha Uchaguzi mkuu mnamo tarehe 12 Julay 2015,Francis
Kaswahili ambaye alijitambulisha kuwa ni katibu wa kamati ya Uchaguzi wa Yanga aliitisha uchaguzi huo na kusema fomu za kugombea zitaanza kutolewa kesho May 17 mwaka huu.
Katibu mkuu wa Yanga Jonas Tiboroha amesema watampeleka katika kamati ya Maadili ya Tff Bwana Francis Kaswahili Ili kuweza kumchukulia Hatua.
MSIKILIZE KATIBU WA YANGA JONAS TIBOROHA
MSIKILIZE FRANCIS KASWAHILI

0 Comments