Sikiliza taarifa za kimichezo kwa njia ya sauti,
1.Utasikia Taarifa ya ya klabu ya Yanga ambayo wamemtakia kila la kheri Aliyekuwa mshambuliaji wao Mrisho Ngassa baada ya
kujiunga na klabu ya Free State Stars ya Ligi Kuu ya Afrika Kusini kwa makataba wa miaka 4.
2.Mwenyekiti wa kamati ya Usajili wa Simba Zacharia Hans Poppe amezungumza kuhusu kuachwa kwa wachezaji wao wa Tatu, Waganda, Simon na Dan Sserunkuma pamoja na Joseph Owino huku Kocha wao Goran Kopunovic ambaye akitaka mkataba Mnono.
3.Taarifa nyingine ni Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) kesho jumatano inatarajiwa kusafiri kuelekea nchini Afrika Kusini kwa ajili ya kushiriki michuano ya kombe la COSAFA.
4.Pia kuna Taarifa ya mashindano ya mpira wa kikapu Klabu bingwa Taifa
KATIKA ANGA ZA KIMATAIFA
1.NI NUSU FAINALI YA PILI LIGI YA MABINGWA,KOCHA WA BAYERN MUNICH AMEZUNGUMZA JUU YA MECHI YA LEO DHIDI YA BARCA
2.QPR TAYARI IMESHUKA DARAJA,KOCHA WAO Chris Ramsey KUSALIA AU KUONDOKA?,JIBU LIKO HAPA UKISIKILIZA
SIKILIZA HAPA

0 Comments