Mhariri:Herman Kihwili. IMEWEKWA.May .19,2015 SAA 03:09 USIKU
Meneja wa Chelsea Jose Mourinho amemkosoa mwamuzi Mike Jones kwa ajili ya kumtoa nje kwa kadi nyekundu Cesc Fabregas.
PIA
KWA TAARIFA,BREAKING NEWS,RATIBA PAMOJA NA MATOKEO YA MECHI MBALIMBALI,LIKE PAGE YA FACEBOOK BONYEZA HAPA (Jamii na Michezo)
Sikiliza taarifa za kimichezo leo 19 May 2015 kwa nchia ya sauti na miongoni mwa taarifa utakazozisikia ni ya Timu ya Taifa ya
Tanzania Taifa Stars iliyoko Afrika Kusini kwa ajili ya mashindano ya COSAFA Castel Cup .
Taarifa nyingine ni ya mgogoro wa klabu ya Mwanza Toto African ambayo imepanda daraja,Raisi wa shirikisho la Soka ametoa neno juu ya mgogoro huo,
Pia kuna taarifa ya Ligi kuu ya Kandanda ya Visiwani Zanzibar ambayo imebakisha Raundi mbili kumalizika.
Na mara baada ya kumalizika kwa mashindano ya Klabu bingwa ya mpira wa kikapu ya Tanzania,shirikisho la Mpira wa kikapu Tanzania sasa liko katika maandalizi ya mashindano mbalimbali ikiwemo Mashindano ya majiji pamoja na mashindano ya muungano yatakayofanyika mwezi ujao.
KATIKA ANGA ZA KIMATAIFA
PIA
Raheem Sterling anajiandaa kuanza tena mazungumzo ya mkataba wake na Liverpool baadaye wiki hii, lakini inakusudia huenda akawaambia kuwa yeye hana mpango wa kusaini mkataba mpya,KWA NINI?
SIKILIZA HAPO CHINI
0 Comments