Mhariri:Herman Kihwili. IMEWEKWA.APRIL .5,2015 SAA 08:31 MCHANA
kiongozi wa kanisa la Katoliki Jimbo kuu la Dar es Salaam, Mwadhama kadinali Polycap Pengo, hii leo ameongoza misa
takatifu katika kanisa la kurasini,ikiwa ni maadhimisho ya kitaifa yaliyofanyika katika jimbo hilo la kurasini .
takatifu katika kanisa la kurasini,ikiwa ni maadhimisho ya kitaifa yaliyofanyika katika jimbo hilo la kurasini .
Katika siku hiyo ambayo wakristo wote duniani wanakumbuka kufufuka kwa Yesu Kristo,askofu Pengo amesisitiza amani kwa wananchi wote.
MSIKILIZE ZAIDI
KWA TAARIFA,BREAKING NEWS,RATIBA PAMOJA NA MATOKEO YA MECHI MBALIMBALI,LIKE PAGE YA FACEBOOK BONYEZA HAPA (Jamii na Michezo) .

0 Comments