Kocha wa muda wa klabu ya Coastal Union Jamuhuri Kihwelo amesema kwa ubora wa klabu ya Simba endapo wangecheza jana n
a timu hiyo kutoka Tanga,basi Coastal Union ingeweza kupokea kichapo kikubwa zaidi ya goli hata 10.
a timu hiyo kutoka Tanga,basi Coastal Union ingeweza kupokea kichapo kikubwa zaidi ya goli hata 10.
Akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya mchezo huo, Jamuhuri Kihwelo amesema matokeo ya timu yake ya Coastal Union kufungwa bao 8 kwa 0 na Yanga yamemsikitisha sana hapo jana,kwani toka aanze kufundisha mpira hajawai kupokea kichapo kikubwa cha magoli kama aliyoyapata jana.
![]() |
| Jamuhuri Kihwelo akizungumza na wana habari jana mara baada ya mechi |
"Niki vipi timu ambayo iko vizuri katika mashindano ya kimataifa,inakuja kucheza na timu ambayo imetoka mapumzikoni,alafu mnaambiwa kuwa mnacheza mechi jumatano,kwa hiyo hii nilitegemea kufungwa lakini si idadi kubwa,na wenyewe mmeweza kuona,uwanja huu wa Taifa si Uwanja wa kitoto,ni uwanja wa mkubwa,ukisha poteza Stamina ujue umepoteza kila kitu,kwa hiyo wachezaji wangu walipoteza umakini,walipoteza Stamina yaani walipoteza kila kitu,Yanga hata na wenyewe pamoja na ushindi wa Goli nane nawapongeza,lakini kama timu yangu ingekuwa na maaalifa,au leo tungecheza na Simba kwa uwezo waliokuwa nao,naamini tungefungwa hata goli kumi,kwa sabubu wanaweza kuuchezea mpira na nafasi nyingi Yanga wamepoteza"alisema Jamuhuri Kihwelo
MSIKILIZE ZAIDI JAMUHURI KIHWELO AKIJIBU MASWALI YA WAANDISHI WA HABARI


0 Comments