Tanzania na bdf ya Botswana.
Hivyo basi kwa wale wote ambao walikuwa wakisubiria kuutazama mpira kwenye vibanda vya kulipia au majumbani hawataweza kuona mechi hiyo moja kwa moja kwa siku ya jumamosi.
Taarifa kutoka Yanga inasema kuwa imelazimika kutoa taarifa hii mapema, ili kuepusha usumbufu kwa wale wote wanaotegemea kutazama mpira huo majumbani.
Taarifa hii imetolewa na idara ya habari na mawasiliano Yanga makao makuu,lakini haikutaja sababu za kutoonesha live mchezo huo.
KWA TAARIFA,BREAKING NEWS,RATIBA PAMOJA NA MATOKEO YA MECHI MBALIMBALI,LIKE PAGE YA FACEBOOK BONYEZA HAPA (Jamii na Michezo) .

0 Comments