Azam Fc kwa mara ya kwanza itashiriki mashindano ya klabu bingwa barani Afrika,inatarajia kucheza mechi na yao ya kwanza
katika uwanja wao wa Azam Complex siku ya jumapili tarehe 15 na timu ya El Merreikh ya Sudani.![]() |
| Kikosi cha Azam Fc |
kwa mujibu wa Ofisa habari wa klabu ya Azam Fc Jaffari Idd Maganga,kikosi cha El Merreikh kinatarajiwa kuwasili siku ya kesho tarehe 12.
MSIKILIZE JAFFARI IDD MAGANGA
KWA TAARIFA,BREAKING NEWS,RATIBA PAMOJA NA MATOKEO YA MECHI MBALIMBALI,LIKE PAGE YA FACEBOOK BONYEZA HAPA (Jamii na Michezo) .

0 Comments