Kesho kikosi cha Magwiji wa Real Madrid ya Uhispania kinashuka katika dimba la Taifa jijini Dar es Salaam kukipiga na Magiji wa 
Tanzania katika mchezo wa kirafiki.
 Leo Agosti 22 Magwiji hao wakiongozwa na  Figo,Fernando Sanz pamoja na Karembeu, wamezungumza na waandishi wa habari katika hoteli ya  Southern Sun, Dar es Salaam na kueleza kile kilichowaleta.
ANGALIA PICHA 
|  | 
| Fernando Sanz kiingia katika  hoteli ya  Southern Sun | 
|  | 
| Figo akiingia katika mkutano na waandishi wa habari | 
|  | 
| Kutoka kushoto:Jamuhuli Kihwilo,, Karembeu, Fernando Sanz ,Figo na Farough | 
|  | 
| Kutoka kushoto:Fernando Sanz,Karembeu,  ,Figo na Farough | 
|  | 
| Waandishi wa habari | 
|  | 
| Selfie:Karembeu na Figo wakijipiga picha | 
ILI KUWEZA KUPATA TAARIFA MBALIMBALI,LIKE PAGE YA FACEBOOK  BONYEZA HAPA (Jamii na Michezo) . 
 
0 Comments