Mhariri:Herman Kihwili IMEWEKWA.Aug.28,2014 SAA 01:20 USIKU
Mshambuliaji wa Chelsea Diego Costa imebanwa na misuli madogo hii leo katika mazoezi lakini haimaanishi kama
atakosa mchezo wa Jumamosi wa ligi dhidi ya Everton.
Mshambuliaji wa Chelsea Diego Costa imebanwa na misuli madogo hii leo katika mazoezi lakini haimaanishi kama
atakosa mchezo wa Jumamosi wa ligi dhidi ya Everton.
kiasi kamili cha kuumia kwa Muhispania huyo bado akijajulikana ,lakini baadhi ripoti kutoka uingereza zinadai kuwa huenda akakumbana na wiki sita za kukaa nje.
Costa amekuwa akiteseka na matatizo ya misuli tangu akiwa Atletico mwishoni mwa msimu uliopita alilazimishwa kucheza mchezo wa mwisho wa Ligi ya Mabingwa dhidi ya Real Madrid na kutoka baada ya dakika tisa.
ILI KUWEZA KUPATA TAARIFA MBALIMBALI,LIKE PAGE YA FACEBOOK BONYEZA HAPA (Jamii na Michezo) .
ILI KUWEZA KUPATA TAARIFA MBALIMBALI,LIKE PAGE YA FACEBOOK BONYEZA HAPA (Jamii na Michezo) .
0 Comments