Mhariri:Herman Kihwili IMEWEKWA.JUL.21,2014 SAA 04:14 USIKU
Mtoto wa Cristiano Ronaldo mwenye Umri wa miaka minne bado hana idea yeyoye kuhusu mama yake , na familia
yake hawana nia ya kumwambia.
Dada wa Ronaldo, Elma, amebaini kuwa Cristiano Jnr, wakati mwingine hujulikana kama Cristianinho, ameacha kuuliza kuhusu mama yake baada wao kumwamwambia kuwa mama yake amekufa.
Nyota wa Real Madrid, 29, mtoto wake ni wa mwanamke ambaye hajulikani, inaaminika kuwa walikuwa na mahusiano na Cristiano Ronaldo mwaka 2010.
Father and son: Cristiano Ronaldo with Cristianinho in Madrid where the boy lives with his dad and grandmother
Elma alisema: "sisi tulimwambia alikuwa Mbinguni, lakini ndugu yangu na mama walimwambia asiulize tena"
'Sisi tunamwamba mama kasafiri,anakaa kimya,anasahau kuuliza na haulizi tena"
Cristianinho anaishi na Ronaldo na mama wa Ronaldo Dolores nchini Hispania,ambaye hivi karibuni alitoa alizindua kitabu chake alisema: mama wa mtoto huyo simfahamu".
Hata hivyo, Elma aliongeza: "Kama baadaye Cristianinho atataka kujua mama yake mzazi ni nani utakuwa ni uamuzi wake na hakuna mtu atake mzuia kuuliza"
Support: Dolores has always played a big part in Ronaldo's life, in Portugal, Manchester and now Madrid
Flying high: Ronaldo posts a picture from a plane as he prepares to rejoin Madrid for the new season
ILI KUWEZA KUPATA TAARIFA MBALIMBALI,LIKE PAGE YA FACEBOOK BONYEZA HAPA (Jamii na Michezo) .
0 Comments